Mwimbaji wa Tmk aliyefariki Dunia YP, kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe
Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagw…
Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagw…
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya R…
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family, YP amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya k…
Mtoto Glory amekutwa ameuawa baada ya kubakwa kote kote na watu wasiojulikana katika maeneo ya Mbezi-Saranga …
Basi la abiria linalomilikiwa na kampuni ya Airbus linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tabora li…
Maafisa wa Los Angeles, Marekani wameeleza kuwa mwimbaji na muigizaji wa kike Simone Battle amekutwa nyumbani…
Takribani watu zaidi ya 45 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso …
Mkosoaji maarufu wa mitindo ya mavazi 'Fashion Police', Joan Rivers amefariki September 4 akiwa na um…
Ndege ya Kampuni ya Safari Express Limited imeanguka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuwateketeza wat…
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki baada ya kuugua maradhi ya…
Aliyekuwa mke wa Afande Sele, Asha maarufu kama Mama Tunda, amefariki dunia. Taarifa hiyo imetolewa na …
Robin William ni star aliyeanza kupata mafanikio akifanya kazi kama stand up comedian na baadae kuanza kuonek…
Waziri wa habari wa Liberia Lewis Brown amesema nchi yake haiwezi kuimudu hali ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola…
Mabaki ya miili ya watu ambao baadhi ya vyanzo vinasema ni zaidi ya 100 imekutwa katika msitu mdogo uliopo en…
Ndege ya Malaysia, Boeing 777 iliyokuwa inatoka Amsterdam kwenda Kula Lumpur imeanguka Mashariki mwa Ukraine …
Hali ya hewa imechafuka kwa wakazi wa eneo la Ubungo-Darajani karibu na River Side baada ya majambazi kumuua …
Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam…
Siku moja baada ya eneo la Mpeketu karibu na Lamu kushambuliwa na wanamgambo wa Al Shabab na kuua watu takrib…
Maafa! Moto mkubwa umetetekeza kabisa soko kubwa kabisa la mitumba la karume jijini Dar es Salaam usiku wa Ju…
Mchana wa leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directer Geogre …