Binti abakwa na kuuawa Mbezi, uchunguzi wafanyika

Mtoto Glory amekutwa ameuawa baada ya kubakwa kote kote na watu wasiojulikana katika maeneo ya Mbezi-Saranga jijini Dar es Salaam.


Mtoto huyo aliyekuwa akisoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Msingwa, Mbezi kwa Msuguri, alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha saa 12 jioni nyumbani kwao.

Taarifa zinasema binti huyo aliitwa na mtu wakati akicheza maeneo ya nyumbani na hakuonekana tena.

Uchunguzi unaendelea kufanyika.

Chanzo: Wanafamilia.
Previous Post Next Post