Watu zaidi ya 45 wariki dunia kwa ajali mbaya ya gari Musoma!

Takribani watu zaidi ya 45 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara





Ajali hiyo imelihusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.

Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa