Picha: Flaviana Matata akitangaza nguo za Macy’s (chain ya stores za nguo Marekani)


Flaviana Matata ndiye model kutoka Tanzania aliyepata nafasi nyingi ya kutangaza bidhaa maarufu duniani. Miongoni mwa shavu alilopata ni pamoja na kutangaza nguo za msululu wa maduka makubwa ya nguo nchini Marekani ya Macy’s.
Macy’s, zamani R. H. Macy & Co. ni misululu wa maduka makubwa yanayomilikiwa na kampuni ya Marekani, Macy’s, Inc.
Hadi January 2013, maduka hayo yapo kwenye maeneo 798 nchini Marekani yanayouza nguo za aina zote. Tazama picha za Flaviana akitangaza nguo za kampuni hiyo kwenye website yao.
Flavy 3
Flavy 4
Flavy 5
Flavy 6
Flavy 7
Flavy 8
Flavy

Add a comment

Previous Post Next Post