Picha: Hvi ndivyo jinsi Director na Kipenzi cha wengi Geogre Tyson alivyoagwa

Mchana wa leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directer Geogre Tyson aliyeaga dunia Ijumaa iliyopita maeneo ya Gairo kwa ajali mbaya ya gari. Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik M. Sadik akizungumza na wafiwa pamoja na waombolezaji waliofika katika viwanja hivyo.



Pichani kuanzia kushoto ni Mama mzazi wa Mboni Masimba halafu Mboni mwenyewe pamoja na mtoto wa marehemu anaitwa Sonia akiwa na mama yake Monalisa.

























Mama mzazi wa Lulu pamoja na Mama mzazi wa marehemu Kanumba

 







































Image Credit: Dj Choka



Previous Post Next Post