Picha /Video:Hii ndio Ajali iliyotokea Makongo yaua watu 18

Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.

Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali

Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo






Ndugu wakilia kwa uchungu baada ya kutambua miili ya ndugu zao.
Madaktari wa Hospitali ya Lugalo wakiendelea kuwahudumia majeruhi.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Lugalo, Brigedia Jeneral, Josia Mekere.

Tazama Video hapa




Source:GlobalPublishers
Previous Post Next Post