Shilole : Sijawahi kuachwa na mwanaume

Msanii wa muziki na Bongo Movie nchini Zuwena Mohamed maarufu kama Shilolea.k.a ShiloleKiuno  amesema  kuwa hajawahi kuachwa na mwanamume.



Badala yake Shilole amesema kuwa yeye ndiye anayeamua kuachana na mpenzi na kamwe haachiki.

Alisema hilo linatokana na ukweli kuwa ana misimamo kimaisha na mapenzi hayawezi kumyumbisha.
Previous Post Next Post

Popular Items

TIGO YAPOKEA TUZO YA UCHANGIAJI DAMU

YALIYOJIRI LEO MAGAZETINI IJUMAA

NGONGO INASABABISHA SARATANI YA KIZAZI