Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi, Beatrice Singano Mallya akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha inayomwenzesha mteja wa Airtel kupata kifurushi cha maongezi , sms na internet na kuwasiliana na mitandao yoyote nchini, huduma hii imebeba ujumbe wa simkadi moja, taifa moja, bei moja
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akielezea huduma mpya ya
Airtel yatosha yaani Simu kadi moja, taifa moja, bei moja inayomwezesha
mteja wa Airtel kuwasiliana na mitandao yoyote nchi na kupata kifurushi cha
muda wa maongezi, sms, na internet kwa bei nafuu hadi shiling 349/= pichani
(katikati) ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi, Beatrice Singano
Mallya akifatiwa na Meneja masoko Airtel Anethy Muga

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma ya Airtel yatosha inayomwezesha mteja wa Airtel kupata dakika za muda wa maongezi,sms na kifurushi cha internet.
…………………………………………………………………..
*Piga simu muda wowote usiku and mchana
*Piga simu muda wowote usiku and mchana
Dar Es Salaam Jumatano 20 Marchi 2012. Airtel Tanzania leo imezindua
huduma mpya ijulikanayo kama “AIRTEL YATOSHA” itakayowawezesha wateja
wake nchi nzima kupiga simu kwenda mtandao wowote kwa kiwango nafuu
cha hadi asilimia 75 bila kuwa na sababu kubadili simu laini kwa
kuhofia gharama.
Huduma ya AIRTEL YATOSHA inadhihirisha simu kadi moja, taifa moja, bei
moja inayoendeleza dhamira ya Airtel ya kutoa huduma bora na nafuu
ambapo wateja wa Airtel sasa watapata ofa ya kifurushi kitakacho wapa
muda wa maongezi, ujumbe mfupi na kifurushi cha internet ambacho
kinaweza kutumika kwa siku au kwa wiki kulingana na mahitaji ya wateja

Akiongea wakati wa hafla maalum ya uzinduzi wa huduma hiyo iliofanyika
katika makao makuu ya Airtel Tanzania, Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bw
Sunil Colaso Alisema” Huduma ya Airtel YATOSHA ni maalum kwa kila
mtanzania, hii itawarahisishia watanzania wote kupata mawasilino
nafuu kwa kupiga bila kikomo kwenda mitandao mingine nchini. Kupitia
kifurushi cha Airtel YATOSHA wateja wa Airtel watafurahia kiwango cha
chini cha hadi shilingi 349/=, hii inamaana kwamba mteja atapata
dakika 10 za kupiga simu kwenda mtandao wowote muda wowote, pia SMS
100 (ujumbe mfupi wa maneno) pamoja na kifurushi cha intenet cha 25MB
ofa itakayotumika masaa 24 kwa siku

Faida za AIRTEL YATOSHA kwa mteja zinadhihirisha dhamira yetu Airtel
ya kutoa huduma za mawasiliano bora na nafuu nchini. Airtel
tunazingatia kuwa wateja wetu wanamahitaji tofauti na ndio sababu
kubwa inayotufanya tuwe wabunifu kwa kuwapatia huduma zinazogusa kila
aina ya wateja na kuleta mabadiliko halisi kwa kuwapa wateja wetu nchi
nzima thamani ya pesa zao