Picha: Umeziona picha hizi za Rapper Rick Ross alivyo kwa sasa, kitambi chote kwisha

Rapper Rick Ross na mmiliki wa record lebel MMG amepunguza kilo zingine zaidi na sasa muonekano wake umabadilika sana.



Aliamua kupunguza kilo baada ya kupata matatizo ya kiafya na kupoteza fahamu akiwa safarini kwenye ndege mwaka jana.

Rick Ross amewahi kusumbuliwa na unene uliowahi kumfanya apoteze fahamu wakati mwingine.

Je wewe mdau unauonaje mwili wa Rick Ros kwa sasa?
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa