Shetta alia na Collabo za Nje, anataka kufuata nyayo za Diamond

Msanii ambaye kiribu nyimbo zake zote ameshirikisha wasanii wengine Shetta ambaye kwa sasa amesema hana mpango wakufanya kazi tena na wasanii wa hapa Shetta aliongea hayo alipo ulizwa kupitia Power Jams ya EA Radio kama anampango wakufanya kazi na Ally Kiba Shetta alijibu “Sina mpango wakufanya collabo na Ally Kiba”



“Nafikiria zaidi kufanya Collabo International kwa sababu nimesha fanya kazi nyingi sana na wasanii wa nyumbani nazani sasa inatosha aidha nifanye nyimbo mwenyewe au nifanye na International artist.”
Previous Post Next Post