Aliyekuwa Mpenzi wa Rose Ndauka 'Chiwaman' adai hajui sababu ya kuachana naye

Hivi karibuni Ndauka aliachana na baba wa mwanae, Malick Bandawe aka Chiwaman. Japo Ndauka aliwahi kusema kuwa wa walikaa pamoja na kuchagua kuachana kutokana na kuwepo tofauti zisizosuluhusishika,



Rose Ndauka amesema kwakuwa mwanae ameshafikisha miezi 9, yupo tayari kurejea kazini baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu kutokana na likizo ya uzazi.

Hata hivyo Chiwaman ameiambia EATV kuwa hajui sababu ya kuachana kwao.

“Mimi sina sababu yoyote labda yeye anaweza akawaambia sababu,” alisema.
Wawili hao walikuwa na mipango ya kufunga ndoa.
Previous Post Next Post