Music: Victoria Kimani – I Don’t Love You

Mwanadada aliyebamba na collabo ya Prokoto aliyowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ambaye pia ni Msanii wa Chocolate City ya Nigeria, Victoria Kimani kutoka Kenya ameachia wimbo mpya ‘I Don’t Love You’ aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini. Wimbo huu ulirekodiwa miaka mitatu iliyopita.


isikilize na kuipakuwa hapa....
Previous Post Next Post