Kaa mkao wa Kula kwa Collabo ya vijana hawa wa Dully Skyes

Mkongwe wa BongoFlava Dully Sykes ameamua kuwakusanya wadogo zake kimuziki kupitia studio yake, 4.12 na kutengeneza wimbo wa pamoja.




Dully Sykes akiwa studio na wadogo zake hao

Kwenye ngoma hiyo iliyotayarishwa na yeye mwenyewe Dully Sykes katika studio zake za 4.12, zaidi ya wasanii watano wameshirikishwa.

Wasanii hao ni pamoja na Nyandu Tozi, Belle 9, Mr Blue, Barakah Da Prince, Young Dee na PTheMC.
Previous Post Next Post