Video: Mahojiano ya Diamond na Yemi Alade ndani ya Coke Studio Africa

Mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz na mwimbaji wa hit single ‘Johny’, Yemi Alade kutoka Nigeria jana (September 10) walifanyiwa mahojiano katika msimu wa pili wa Coke Studio jijini Nairobi na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu muziki na maisha yao kwa ujumla. Kama hukupata bahati ya kutazama ‘live stream,’


Chukua muda wako kutazama  mahojiano hayo hapa...

Previous Post Next Post

Popular Items