Umesoma Majibu ya Masanja kwa Mashabiki wake, Baada ya kutopost picha za Misiba ya wasanii wenzake

Baada ya mashabiki kuwaponda Diamond latnumz pamoja na masanja juu ya kutopst picha za misiba ya wasanii wenzao, Jana Diamond aliamua kutoa pole zake kwa wafiwa na kuandika ujumbe kwa fans wake, Kazi ikaja kwa masanja mkandamizaji baada ya watu kumuandama sana yeye aliamua kupost hivi



Kweli huyu ni Mkandamizaji soma alichopost

Previous Post Next Post