Picha: Kutana na Dina Marios akiwa na mtoto wake

kwa wale ambao walikuwa hawamfahamu vizri mtoto wa dinamarios leo hii mtandao wa Bongo61tumeamua kuwaletea hapo juu ili mumuone, kiukweli mama utamwambia nin kuhusu mtoto? tazama picha jinsi mtoto wa Dina Marios a.k.a Mama Zohan  alivyokua , mungu amjalie aendelee kukua siku hadi siku



Previous Post Next Post

Popular Items