Picha: Ciara amuonesha mtoto wake kwa mara ya kwanza

Mwimbaji wa RnB, Ciara ameamua kumuonesha mtoto wake wa kiume aliyezaa na rapper Future.

Jana (June 13) ambayo ilikuwa Fathers Day, Ciara alipost kwenye Instagram picha mbili za mwanae huyo mwenye umri wa mwezi mmoja tu na kuambanisha na ujumbe maalum kwake na kwa mchumba wake Future.


“Hey Dad aka Big @1future. Baby Future Loves You. #HappyFathersDay.” Aliandika kwenye post ya kwanza.

Kabla ya picha hiyo alipost picha ya mtoto akiwa ameshika mkono wa baba yake na kuandika:


































Mtoto wa Ciara na Rapper Feature

“From The Moment Baby Future Arrived, He Was Holding Your Hand So Tight, He Knew You Were Dad. Seeing That Melted My Heart... When I Look At Him, I See You Shining Through, And That's One Of The Most Beautiful Things Ever! You Are Truly One Of The Realist, Most Caring, Hard Working, Loving Dads In The World, and I'm So Proud Of You.I Love You. Happy Fathers Day.”
Previous Post Next Post