Huyu mrembo anaitwa Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange. Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na kumsema vibaya.
Tags:
Photos