Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa Prezzo!

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.




Prezzo

Prezzo ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika:


Mpenzi mpya wa Prezzo

Rapper huyo kutoka Nchini Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika:

 “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”
Previous Post Next Post