The Game afunguka na kusema aliwahi kuwa na uhusiano na Kim Kardashian na Sio Khloe Kardashian

Mwana Hip Hop Kutoka Marekani "The Game" hivi karibuni rapper uyu amekuwa akihusishwa kuwa na uhusiano na Khloe Kardashian, mdogo wake na Kim Kardashian. Lakini kwenye interview aliyofanya na DJ Charlie Sloth wa BBC Radio1Extra, The Game amesema aliwahi kuwa na uhusiano na Kim Kardashian.



“Hizi ni tetesi tu,” alisema The Game. Watu hawajui lakini nimefahamiana na Khloe kwa miaka 12. Nilienda na Kim kwa muda. Kwa muda mfupi tu. Mimi na Khloe tupo cool.’


Khole Kardashian

Khole Kardashain , Odom & The Game


Khole Kardashian & The Game

Katika Interview yake hiyo The Game alipoulizwa kama uhusiano wao ulianza kabla ya ya ule maarufu wa Kim na Ray J, The Game alisema hakumbuki.
Previous Post Next Post