Ile filamu ya maisha ya Mke wa zamani wa Nelson Mandela iliyoigizwa na Jennifer Hudson na Terrence Howard, yakataliwa na Winnie Mandela

Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie ametilia mkazo msimamo wake wa kutoitambua filamu kuhusu maisha yake ‘Winnie Mandela’ iliyoigizwa na Wamarekani, Jennifer Hudson (aliyeigiza kama Winnie) na Terrence Howard aliyeigiza kama Mandela.


Winnie Mandela,Jennifer Hudson na Terrence Howard

Kupitia Website yake, Winnie ameandika taarifa na kusisitiza kuwa tatizo na filamu hiyo ni kuwa watayarishaji hawakumtafuta kwanza kupewa ruhusa ya kuigiza maisha yake.

Cover ya Filamu ya Winnie Mandela


Tazama Trailer ya Movie hiyo ya Winnie Mandela Hapa chini..



Winnie ameandika haya kupitia website yake:

In my life’s struggle I have seen and heard many things said about me. I understand that my story, alongside that of my people is one that will continue to be told for many generations.

In an attempt to ensure that my truth was reflected, I reached out to the film makers of “Winnie Mandela” – my advances were rejected. I imagine the basis was to allow the creative process to occur organically- a concept I try to understand. I respect all creative efforts to make this story one that would appeal to a global audience as well as yield commercial gains for all those who invested in it.
In principle, I have no “problem” with the Winnie Mandela film while it remains important to me that my life story be portrayed accurately. I appreciate that this would require the utmost integrity of the storytellers but, my story is mine and no one knows it better.I also reject media reports that suggest that I have a problem with the international talent cast on this film.

Unlike “Long Walk To Freedom”, this film is based on an UNAUTHORISED biography whose producers did not deem it fit to consult me or my family. My family and I are therefore not associated with this production.Sincerely,
Filamu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi nchini Afrika Kusini, March 7, 2014 kwenye majumba ya sinema.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA