P-Square waja na series ya TV ya animation ‘The Alingo’s’

Wanamuziki mapacha kutoka Nigeria Paul na Peter Okoye wameanzisha series ya TV ya animation iliyopewa jina The Alingo’s. Ni mradi kutoka kampuni ya P-Classic Entertainment inayolenga kutayarisha vipindi vya TV vya animation. Kipindi hicho kimebuniwa na Peter Okoye.



Show hiyo itakuwa ya kwanza yenye ubora mkubwa kutoka Nigeria. Itaanza kuonekana kwenye internet na kisha kwenye TV.

Picha hapa chini ni Baadhi ya clip zitakazopatikana katika Animation hii...





Tazama Teaser ya Animation hiyo ya P Square hapa chini..

Previous Post Next Post