PICHA: SHOW YA DIAMOND PLUTNUMZ KWENYE TAMASHA LA WATOTO LILILOFANYIKA LEADERS CLUB

Pata kutazama picha kutoka katika shoo ya Diamond Plutnum iliyofanyika katika siku ya Krismasi Pale Leaders Club- Dar es salaam, ambapo Diamond Aliandaa Tamasha la Kusheherekea na watoto katika siku iyo ya krisimasi, watoto wengi walifika na kuweza Kupata Nafasi ya Kucheza 'Ngololo' na Diamond.
Hit Maker Uyo wa My Number 1, Diamond kwanza aliingia ukumbini kwa mbwembwe zote kama jinsi ilivyokawaida yake ,Tazama Picha hizi hapa chini Kujua nini alikifanya Diamond siku hiyo.


     Shadee wa Clouds Fm alikuwa host

 Mashabiki Wakisubiri Tamasha Kuanza kwa Hamu

 Diamond Akiwasili Ukumbini 'Leaders Club'

 Diamond Akisalimiana na Mashabiki wake Akiwa anaingia Ukumbini

 Shoo Ikaanza Burudani mwanzo mwisho mpak Giza Likaingia
 Watoto wakifurahi











 Daimond Plutnumz akifanya yake



 Watoto wakishangilia

 Show Ikapamba Moto




 Watoto wakifurahi


Akicheza pamoja na Dancers wake
Previous Post Next Post