Picha: Mtoto Aliyeshinda Kucheza Ngololo Katika Tamasha Alilolifanya Diamond Plutnumz

Katika tamasha alilolifanya Hit maker wa Ngoma kali kibao kama My Number 1' Diamond' Pale Leaders Club katika siku ya Krismasi ambalo liliusisha watoto ambapo Diamond aliamua kusheherekea sikukuu hiyo na Watoto katka kufurahi na kutoa zawadi kwa mtoto atakayecheza Staili ya Ngololo Vizuri.

 Zoezi hilo alikuwa dogo kwani watoto wengi walikuwa wanamudu kucheza vizuri stahili hiyo ya ngololo ambapo mpka mshindi anapatiakana alikuwa anauwezo wa kumudu steps zote kwa umakini

Huyu Ndiye Mtoto aliyeshinda Kucheza Wimbo wa My Number 1

Huyu Ndiye Mtoto Aliyeshinda Kucheza Ngololo
Previous Post Next Post