Picha: Kampuni ya Nike Wametoa Brand Mpya 'Nike Air Max 90′S ICE Pack' Kutoka Rasmi Feb 2014

Kampuni ya Nike Imetoa Toleo Jipya la Nike Air Max 90′s “Ice Pack” katika Rangi tofauti ambazo ni red/fluro njano na  grey/fluro njano.

Nike Air Max 90′s Inategemewa kuingi sokoni rasmi Mwezi wa Pili 2014







Previous Post Next Post