KAMPUNI YA SUMSUNG YATOA NA KUZINDUA SIMU MPYA AINA YA "GALAXY GRAND 2"

Kampuni ya Samsung Electronics siku ya jana (Nov 25) ilizindua simu nyingine mpya aina ya  ‘Samsung Glaxy Grand 2’ yenye quad-core processor.



Simu hiyo itakuwa na kioo cha inchi 5.25 chenye resolution ya 1280×720, itakuwa na quad-core 1.2GHz processor pamoja na camera yenye megapixel 8. Features zingine katika simu hiyo ni Ram ya 1.5GB na 8 GB internal memory.

Galaxy Grand 2 ni miongoni mwa smart phone nyingi za kampuni hiyo zilizozinduliwa mwaka huu. Simu zingine za Samsung zilizotolewa mwaka huu ni pamoja na Galaxy S4, Galaxy Note 3, Galaxy S4 mini, Galaxy S4 Zoom, Galaxy S4 Google Edition, Galaxy S4 Active na Galaxy S4 mini La Fluer.

Samsung Galaxy Grand 2 zitapatikana katika rangi tatu, nyeupe, nyeusi pamoja na pink.


SOURCE: YAHOO

Previous Post Next Post

Popular Items