PICHA: KENYA WATENEGENEZA KEKI KUBWA YENYE UZITO WA KGS 5000..UNAAMBIWA HII AIJAWAI KUTOKEA

Unaambiwa kwamba Hii ndio keki inayosemekana kuwa kubwa kuliko zote kuwahi kutengenezwa Kenya, iliyoandaliwa (bake) kwa siku saba na yenye uzito wa kilo 5000, uzito unaofananishwa na wa magari matano ya Toyota Probox kwa pamoja. Probox zina uzito wa (Curb Vehicle weight) kg 1000 kila moja.



Keki yenye kg 5000

Ilitumia siku 7 kui bake

Watu waliohudhuria wakipiga picha wakati keki ikikatwa
Keki hiyo ilitengenezwa na duka la kutengeneza keki Nairobi, Kenya ‘Cake City’ wakati wa kusheherekea mwaka maadhimisho ya mwaka mmoja ya duka hilo.
Previous Post Next Post

Popular Items