Picha: Miss Tanzania 2011, Salha Israel aigiza mpambe wa mtoto wa Rais (Jacky Wolper) kwenye movie mpya



Miss Tanzania 2011, Salha Israel ameingia kwa miguu miwili kwenye uigizaji wa filamu na hivi karibuni ataonekana kwenye filamu mpya ya kampuni ya Ray, RJ Company.


Salha akiwa location na Wolper


Mtoto wa Rais, Jackie Wolper, Salha na walinzi wake watatu

Kwenye filamu hiyo ambayo haijajulikana jina lake, Jacqueline Wolper ameigiza kama mtoto wa rais na Salha akiwa mpambe na rafiki yake wa karibu.




“Ooh my my god .tnx rj cmpany i lv thz movie kwakwel. Wale mashabk kaeni mkao wakufurahi.cheza me kma mtoto wa rais omg prnsesar.ovaaa,” ameandika Wolper kwenye Instagram.
Previous Post Next Post

Popular Items