KILELE CHA WIKI WA HIFADHI YA JAMII MJINI DODOMA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt Jakaya Mrsisho Kikwete akifurahia zawadi aliyopewa na makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SSRA Bi, Jayne Nyimbo akimtambia “ kuwa ni championi wa Hifadhi ya Jamii’wakati wa kilele cha wiki ya hifadhi ya Jamii hivi karibuni wakitizama ni waziri wa kazi na ajira Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.



Mh Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka akifurahia zawadi aliyopewa na makamu mwenyekiti wa bodi ya SSRA Bi. Jayne Nyimbo akimtambua jitihada zake katika kuendeleza sekta ya hifadhi ya Jamii nchini



Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa SSRA waliosimama kuanzia safu ya nyuma kuanzia kushoto Bw. Mchafu Chakoma na Bw. Jonathan Peles. Mstari wa pili ni wakuu wa mifuko ya hifadhi ya Jamii Tanzania Bara wakiwa tuzo kutoka SSRA. Walioketi kuanzia kulia ni Mkurugenzi mkuu wa SSRA BI. Irene Isaka , Makamu mwenyekiti wa Bodi Bi, Jayne Nyimbo, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete, waziri wa kazi na ajira mh. Gaudencia Kabaka na mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi 
Picha ya Pamoja ya kamati ya maandalizi na Wanamaonesho wa wiki ya hifadhi ya Jamii chini ya uenyekiti wa Bi, Sarah Kibonde Msika – Mkuu wa Mahusiano na Uhamasishaji SSRA
Picha ya Mgeni rasmi akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya SSRA wakati wa kilele cha maonesho ya wiki ya hifadhi ya Jamii mjini Dodoma.
Previous Post Next Post