SUMAYE AENDESHA HARAMBEE CHUO CHA TUMAINI MJINI IRINGA ASUBUHI YA LEO




Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwa katika harambee ya ujenzi wa kanisa chuo cha Tumaini ambako mgeni rasimi ni waziri mkuu mstaafu Mhe Frederick Sumaye 


Mbunge Msigwa akisalimia katika harambee hiyo


Askofu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dkt Mdegella ,waziri mkuu mstaafu Mhe Frederick Sumaye na mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma wakiwa katika harambee hiyo.
Previous Post Next Post