HAYA NI MAONYESHO YA NDEGE ZA KIVITA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO LEO









Maonyesho ya ndege za kivita yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakiongozwa na Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali nchini.
Previous Post Next Post