![]() |
Mwezeshaji kutoka nchini Finland Ritva Hyttinen akitoa mada pamoja na kuwaonyesha washiriki aina ya kazi zake kupitia teknolojia ya vielelezo wakati wa mkutano wa siku mbili kuhusu maktaba kwa maendeleo uliofunguliwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo nchini Selestine Gisimba (hayupo pichani) Mkutano huo umewashirikisha washiriki 80 kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Finland, Germany, Italy na United Kingdom. |
Tags:
Social


