Picha: Shilole kipindi akiwa Binti mdogo.! alikuwa hivi

Kupitia ukurasa wake wa instagram mwanadada Shilole a.k.a Shishibabye ameshare picha inayomuonyesha akiwa kijijini igunga katika umri mdogo.

Shilole ameshare picha hiyo na kuwauliza mashabiki wake " Mnaweza kuniambia huyu ni Nani??"baada ya kupost na kuandika cuption ya picha hiyo mashabiki wake walicomment kila mmoja anavyojua yeye.

Sasa kazi kwako kumjibu Shilole!


Hii ndio icha inayomuonyesha Mwanadada Shilole a.k.a Shshibyebe kipindi bado akiwa binti mdogo huko igunga na unambiwa kipindi hiki alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina yote ya kisanii aliyopewa mjini.



Previous Post Next Post