TIGO LEO YACHAGUA WASHINDI 42 KATIKA DROO YA SMART CARD.

Meneja Intaneti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya TIGO Titus Kafuma akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema Tigo SmartCard inawapa wateja wake fursa ya kununua Smartpack ambayo inatoa upatikanaji wa mtandao kwa siku 30 na muda wa maongezi wa gharama ya shilingi 30,000 kwa ajili ya kupiga na kutuma ujumbe mfupi wa maneno mitandao yote ndani na nje ya nchi.