Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje. Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kakita fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town
Tazama Picha hapa....