Picha: AY aanza kushoot video mbili huko Marekani moja na Sean Kingston

AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wa Tanzania anaye fanya vizuri ujio wake huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.


Habari nzuri ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti & Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston

Kupitia ukurasa wake wa instagram AY ameshare picha akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandik

Tazama picha zaidi hapa...





Previous Post Next Post