NAIBU WAZIRI AKUTANA NA WASANII DAR ES SALAAM


Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na mwigizaji, Raymond Kindosi (Ray) muda mfupi baada ya kumalizika kwa Mkutano wa wasanii na wadau wa Tasnia ya muziki uliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akizungumza wakati wa Mkutano huo
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na baadhi ya wasanii muda mfupi baada ya kumalizia kwa Mkutano huo
Previous Post Next Post