MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA PILI WA MWAKA WA WADAU WA PSPFfe



02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. 
02a 2aMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Jubilee Towers, kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka, wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Picha na  04aMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kitambulisho, Faridi Ibrahim Kiringi, mfanyabiashara wa duka la Nguo, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, uliofanyika leo Machi 7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la Golden Jubilee Towers. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa. Picha na OMR 4aMsanii, Mrisho Mpoto, akitoa burudani mbele ya jukwaa kuu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 05a Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kitambulisho, Winfrey Ibrahim Banda, Mwalimu wa Shule ya Msingi, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, uliofanyika leo Machi 7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la Golden Jubilee Towers. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa. Picha na OMR 06aMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Hati na Nyumba na funguo, Adorat Francis Milinga, mmoja kati ya watu watano walionunua nyumba za PSPF, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, uliofanyika leo Machi 7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la Golden Jubilee Towers. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa. 
07a
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na watumishi wa mfuko huo, baada ya kufungua rasmi mkutano Mkuu wa pili wa mwaka wa Wadau wa PSPF,Jana
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia