Muigizaji maarufu nchini Mahsein Awadhi ‘Dk Cheni’ ameiomba Serikali isimamie vema sheria ya kuzuia wizi wa sanaa nchini.
Msanii huyo alisema endapo mkazo ungewekwa kwenye sheria ya kudhibiti wezi wa kazi zao tasnia ya filamu ingekuwa na wasanii matajiri zaidi.
Wakati huo huo, msanii huyo amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakaribia kutoa filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’.