Nuh Mziwanda afunguka watoto wa Shilole wananipenda, wananiita ....

Mapenzi ni kikohozi na kuyaficha uwezi, hatimaye Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’




Akiongea na Power Jams ya East Africa Radio, Nuh amesema watoto hao wanampenda.

“Watoto wananiita uncle,” amesema Nuh. “Nafurahi nikiamka asubuhi ‘uncle good morning’, yaani fresh, ‘uncle maji ya kuoga’. Ni watoto lakini wananipenda, wana love kwangu. Kuna kazi nakuwepo mimi hata sifanyi, nikitaka maji ya kuoga wananiwekea maji ya moto. Nikiamka asubuhi chakula naona wananiwekea. Kama Joyce ni mkubwa kidogo so anaelewa, ananifanyia kila kitu uncle wake. Mimi nawapenda na wao wananipenda pia.”

Nuh Mziwanda hivi karibuni alisema kuwa anampang wa kumuoa Shilole
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa