Iggy Azalea kuja na Album mpya yanye nyimbo 12 'Reclassified'

Mwanadada anayefanya vizuri kunako katika anaga ya muziki nchini marekani Iggy Azalea  kutoka na album yenye jumla ya nyimbo 12 amabayo itaitwa 'Reclassified' katika album hiyo mwandada ameongezea nyimbo tano (5) na kuifanya zitimie nyimbo 12 mbali na april alipoachia nyimbo nyingine kama “Fancy” and “Black Widow.”



Hii ni list ya nyimbo zitakazo patikana katika album ya Iggy Azalea ''Reclassified'


1. “We in This Bitch” *
2. “Work”
3. “Change Your Life”
5. “Beg for It” (feat. Mø) *
5. “Black Widow” (feat. Rita Ora)
6. “Trouble” (feat. Jennifer Hudson) *
7. “Dont Need Y’all”
8. “Rolex”
9. “Iggy SZN” *
10. “Fancy” (feat. Charli XCX)
11. “Heavy Crown” (feat. Ellie Goulding) *
12. “Bounce”

* New tracks
Previous Post Next Post