Shilole awacharukia wanaosema mpenzi wake Nuh ni Mdogo kwake, 'Mnakuepogi chumban muona udogo wake!'

Nani asiyejua kuwa  Mwanadada Shilole na Nuh Mziwanda  ni wapenzi!  wengi wanajua hilo ingawa kuna maneno ya chini kwa chini yanayosemwa na watu juu ya mahusiano yao. Maneno hayo ni kama Shilole ni mkubwa kwa Nuh, wala wawili hao hawawezi kudumu katika mapenzi kitu ambacho humkwaza shilole.



Kupitia ukurasa wake wa instagram Shilole ameamua kufunguka na kuwapa makavu live wale wanaosema Nuh ni mdogo kwake, Hivi ndivyo alivyowapa makavu wale wanaomsema yeye na mapenzi yake

'Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo wake 😠"

Loading
Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo aek 😠😠😠😠
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa