Hatimaye Steve RnB afunga ndoa

Mwanamuziki wa miondoko ya R&b na Hit Maker wa ‘Jambo Jambo’, Steve RnB amefunga ndoa na mchumba wake wa tangu sekondari, Naimana Kuyangana. Wawili hao walisoma shule moja na pia kusoma chuo cha IFM pamoja na sasa wanakwenda kuishi katika nyumba moja kama mke na mume.


Ndoa yao ilifungwa Jumamosi iliyopita kwenye kanisa la Word Alive lililopo Sinza jijini Dar es Salaam.

Hapa wawili hao wakiwa na Mtangazaji wa Clouds Fm 'Millardayo

Bibi Harusi
Previous Post Next Post