Beef ya Snoop Dogg na Iggy azalea yamalizika , ni baada ya kuzungumza na mfalme wa atlanta T.I

Rapper mkongwe Snoop Dogg amezungumza na mashabiki wake na wa Iggy na kusema amemaliza beef na Iggy baada ya kuongea na T.I ndiye aliyemgundua kipaji cha Iggy pia ndo anaye msimamia kwasasa


Snoop anasema ‘Nimetoka kuzungumza na T.I Mfalme wa Atlanta na tumemaliza beef na Iggy, naomba msamaha kwa niliowakosea na namuomba msamaha Iggy Pia.

October 12 Snoop Dogg aliweka picha ya Instagram ya mwanamke albino na kuandika “Iggy Azalea No Make Up.” Kitendo kilichokera wengi na kumfanya Iggy amjibu kwa maneno makali twitter.
Previous Post Next Post