Chukua time yako kusikiliza  wngoma mpya kutoka kwa  Gosby kutoka kwenye mixtape yake ‘MissTape’ yenye nyimbo nyimbo takriban 15. Gosby aliiambia Bongo5 kuwa kila wiki atakuwa akitoa ngoma moja. Hii ni O To 100/ The Catch Up Remix aliyomshrikisha Meek Mill.
Isikilize na kuipakuwa hapa...
