Music: Baibe Lizy - Nyota Inang'aa

Mrembo huyu na mshindi wa pili (1st Runner) wa Redds Miss Tabora 2014. Kipaji chake kiliibuka kupitia shindano hilo kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine. Baibe Lizy ameamua kukiendeleza kipaji hiki na sasa ni wakati kwetu Watanzania kumpokea. Producer ni Eizer Bitz na Nusder.



Chukua time yako kuweza kumsikliza hapa kuptia mkito

Previous Post Next Post

Popular Items

2FACE IDIBIA : AFRICAN SUERSTAR