Video ya Mwana kufanyika Nje ya Afrika 'AliKiba'

Baada ya kukata kiu ya Mashabiki wake waliokuwa wakisubiri kitu kipya kutoka kwa Alikiba, Sasa alikiba yuko mbioni kuanza kushoot video hiyo ya mwana.Alikiba ataanza kushoot video ya mwana na ataanza kushoot mwezi huu.<




Alikiba ameweka wazi mipango ya kufanya video ya ‘Mwana’,na anatarajia kuanza kushoot mwezi huu (September).

“Tulikuwa tuna organize na director tayari tumemaliza kila kitu kwahiyo mipango ni kufanyika tu, mwezi huu inaweza ikatoka”,
alisema.

Hata hivyo Alikiba hakuwa tayari kusema video ya ‘Mwana’ ata shoot wapi, “Siwezi kusema itakuwa wapi…” na alipoulizwa kama itakuwa ndani au nje ya Tanzania alijibu, “wala sio Afrika”.

So kwa majibu ya Alikiba, unahisi video ya ‘Mwana’ itafanyika nchi gani nje ya bara la Afrika?

Tufanye kama alivyosema Cindy Rulz ‘Lets Wait’!!
Previous Post Next Post