Picha: Hii ndio sababu ya MTV Base kumshoot Diamond Kila aendako South Afrika

MTV Base jana kilikuwa kinazunguka na Diamond Platnumz kwenye mitaa mbalimbali jijini Johannesburg, Afrika Kusini kushoot kipindi chao kipya kitakachoanza kuonekana kwenye kituo hicho mwezi October mwaka huu.




Tumewasiliana na uongozi wa kituo hicho nchini Afrika Kusini na hivi ndivyo ulivyotujibu:


“We were shooting the show yesterday with Diamond, and will be shooting again with him this afternoon. Basically it’s a 22 minute show following Diamond around while he’s in South Africa. The show will be released on air in October on MTV Base.”




Diamond naye ametoa shukrani zake kwa mashabiki na watu wake wa karibu waliofanikisha kutajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Channel O.

“Kwanza kabisa nitangulize shukran zangu nyingi kwa Media zote nje na ndani ya nchi… wadau na bila haswa kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa.. naamini nguvu na support zenu za kizalendo mnazozidi kunipa ndio zimepelekea kijana wenu leo kufikia hapa…… niwashUkuru pia @channeloafrica kwa fursa hii…. Africa! Ni muda wa Kupiga kura sasa.”
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA