Music: Q Chillah F/ Mb Dog - Nipende Nikupende

Baada ya kimya kirefu Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa. Hii hapa ndiyo single yake ya kwanza anaiachia inaitwa NIPENDE NIKUPENDE.




Kwa miaka mitano nimekuwa kimya kwenye radio na anga ya muziki ikiwa ni sehemu ya kuyapitia maisha mengine nje ya muziki but thanks to God kupata mkataba mkubwa QS MHONDA ENTERTAINMENT kunirudisha tena kwa nguvu zote kwa watanzania wangu waliomisi mziki mzuri toka kwangu nasubiri muda tu niachie muziki mzuri kama ilivyokuwa mwanzo na zaidi ya mwanzo ni zaidi ya Q Chief wanayemjuwa


Previous Post Next Post