Napenda kupika, pamoja na mapenzi 'Recho Kizunguzungu'

Hitmaker wa wimbo ' Replay', Recho amefunguka kuhusu vitu viwili avipendavyo katika maisha yake.




Recho alikuwa akizungumza na Victoria FM jana na ndipo alipoulizwa vitu viwili anavyovipenda kwenye maisha yake.

“Mbali ya muziki ninaofanya ninapenda kupika na mapenzi,” alisema. “Mimi nampenda mtu ambaye nampenda mimi, siwezi nikamsema ni mtu gani, nina mchumba, nina mpenzi lakini ni mpenzi wangu yaani boyfriend.”
Previous Post Next Post